Furaha yako ni Jukumu Lako
Manage episode 445996989 series 3548086
Jiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhimu wa kujitambua na nidhamu katika kufanikisha mafanikio ya muda mrefu. Usikose mazungumzo haya ya kuhamasisha!
🎧 Guest: Lumuliko Mengele (Muli B)
🎙 Host: Hisia (@hisiatz)
#Inspiration #Entrepreneurship #BusinessSuccess #StreetSmarts #Hustle #Marketing #SuccessMindset #PersonalGrowth #MsasaPodcast #BongoFlavor
____________
MSASA PODCAST 🎙 :
Website: https://neiked.co.tz/msasa/
Follow the MSASA PODCAST channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...
Podcast Streaming: https://www.buzzsprout.com/2288412/share
Explore the podcast
31 قسمت